Monday, December 7, 2009

G5 CLICK ONLINE MUSIC STORE

0 comments


Kama ilivyotangazwa na G5 CLICK kupitia CLOUDS FM wakati wa interview kwenye kipindi cha XXL (Extra Extra Large), G5 CLICK ENTERTAINMENT COMPANY itaanza kuuza na kusambaza Bongo music, movies na videos za muziki wa kibongo, Artwork, Ring tones, E-Books na Tickets za events mbalimbali kupitia social network website yake (www.G5click.com)  kwa makubaliano na wahusika..
Huduma hii itakua online kwanzia januari 2010 kwenye FACEBOOK, G5CLICK na MY SPACE, watu wataweza kununua miziki na vitu vingine vingi kwenye social networks kwa kutumia ATM CARDS zinazofanya kazi online-mfano. VISA
 
NDANI YA STORE:
BONGO MUSIC – Singles na Albums
E-BOOKS – hivi ni vitabu ambavyo vipo kwenye mfumo wa PDF
ARTWORK – Artist wallpapers, Picha, covers, logos n.k
RINGTONES – Mp3, Mono na Polly tones
TICKETS – Event tickets (Parties, shows, Donations)
MOVIE ZA KIBONGO NA MUSIC

 KAMA UNATAKA KUSHIRIKISHWA KWENYE PROJECT HII
TAFADHALI WASILIANA NA SISI KUPITIA:

Phone: +255-714-204490 or +255-713-889878
THANK YOU ALL FOR SUPPORTING G5 CLICK ENTERTAINMENT
By G5 CLICK ENTERTAINMENT © 2010

0 comments: