Showing posts with label Auto Festival. Show all posts
Showing posts with label Auto Festival. Show all posts

Saturday, September 26, 2009

G5 at the Auto Festival - 2008

0 comments

Bornfaithful akiwa mbele ya BENTLEY ambayo ni sawa sawa na ile iliyotumika na Bowwow katika video yake ya Fresh Azmiz 


 
Ombeni Phiri & Nelly wakipita kuchekicheki kuona kama kila kitu kilikuwa sawa kabla ya watu kufika kujionea mwenyewe magari ambayo huyaonaga on tv only...... it's really jamani...yapo Bongo


 
 Hapa ni Mustapha akiwa kwenye pozi penbeni ya BMW converterble


 
 Ombeni akiwa amepozi pembeni ya RANGE ROVER kwajili picha


 
Wel... hii ilikuwa kama mida ya saa 1 hivi siku ya pili ya event ..Hapo tulikuwa tunangoja kupoke Certificate kutoka kwa mgeni rasmi ya kushiki katika AUTO FESTIVAL as a media partner..


AUTO FESTIVAL 2009

Monday, September 21, 2009

Auto Festival - Show ya Magari

0 comments