
Rapper super star lil wayne ameachia documentary yake inayoitwa the carter documentary ambayo inaonesha ukweli wa maisha yake kwanzia alivyoanza muziki. lil wayne ameeleza kua documentary hiyo itaonesha mpaka mambo yake ambayo huwa huyafanya private ikiwamo kilevi chake chenye mchanganyiko wa soda na dawa ya kifua.....
0 comments:
Post a Comment