Sunday, October 18, 2009

New G5 click logos are out..

0 comments

For the ladies...

For official business only

G5 black on black


Entertainment is our business....



Whats up people..? Entertainment on demand



Before the G5 rule... before the kingship

Happy Birthday Mustapha Selemani

0 comments

Mustapha,"Thank you all for being with me on my birthday and all who took there time to wish me coaz another year of success has been added into my life.."

Saturday, September 26, 2009

G5 at the Auto Festival - 2008

0 comments

Bornfaithful akiwa mbele ya BENTLEY ambayo ni sawa sawa na ile iliyotumika na Bowwow katika video yake ya Fresh Azmiz 


 
Ombeni Phiri & Nelly wakipita kuchekicheki kuona kama kila kitu kilikuwa sawa kabla ya watu kufika kujionea mwenyewe magari ambayo huyaonaga on tv only...... it's really jamani...yapo Bongo


 
 Hapa ni Mustapha akiwa kwenye pozi penbeni ya BMW converterble


 
 Ombeni akiwa amepozi pembeni ya RANGE ROVER kwajili picha


 
Wel... hii ilikuwa kama mida ya saa 1 hivi siku ya pili ya event ..Hapo tulikuwa tunangoja kupoke Certificate kutoka kwa mgeni rasmi ya kushiki katika AUTO FESTIVAL as a media partner..


AUTO FESTIVAL 2009

G5 kwenye BONGO FACEBOOK party

0 comments

 Kwenye picha hii kutoka kushoto ni Bornfaithful, Nelson,Ombeni na Mustapha



 Hapa ni Mustapha na Ombeni the G5click Modeling manager

 
 Hapa ni LUCAS (Bongo5 CEO) and MUSTAPHA (G5click share holder,IT & Production manager)

 
kama ukicheki fresh utamuona Ombeni Phiri sehemu flani hivi..kama alikuwa anashusha verse hiviiii..
Kwa picha zaidi tembelea www.G5click.com

Sura mpya ya G5click.com

0 comments

Kutoka na utaratibu wa G5click.com network Team, mtanzao wa G5 huwa na sura mpya kila mwezi  na hiyo unayoiyona hapa ni sura ya G5click.com ya mwezi wa kumi ambayo bado iko under development..

Monday, September 21, 2009

Auto Festival - Show ya Magari

0 comments

G5click Entertainment company Owners

0 comments



(Kutoka kushoto) Bornfaith Msomba, Desy Ernest, Mustapha Selemani, Ombeni Phiri, Nelson Kisanga
pamaja na mrembo Raya Ahmed 
Kwa sasa wote wapo inchini Tanzania wakifaya shughuli mbalimbali za G5 pamoja na kusoma..


Bornfaith Msomba - Marketing manager
Desy Ernest - Promotion & Advertisement manager
Mustapha Selemani - IT & Production manager
Ombeni Phiri - Modeling manager
Nelson Kisanga - Music manager
Raya Ahmed - G5 1st lady


CONTACT THIS IS G5

0 comments
EMAIL

info@g5click.com 

music@g5click.com

clickg5@gmail.com
    
OR YOU CAN CALL OR TEXT TO
+255-714-204490 or +255-714-818-168